Job 40:11-12

11 aFungulia ukali wa ghadhabu yako,
mtafute kila mwenye kiburi umshushe,
12 bmwangalie kila mtu mwenye kiburi na umnyenyekeze,
waponde waovu mahali wasimamapo.
Copyright information for SwhNEN